.

.

.

.

Monday, May 25, 2009

MTOTO WA SUMAYE AOWA

Frank Sumaye na Mkewe Anna Temu wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa yao katika kanisa la Azania Fronti jumamosi na baadaye tafrija ya nguvu iliofanyika katika hoteli ya Ubungo Plazza.Viongozi mbalimbali walihudhuria harusi hiyo, waliohuzuria ni Waziri Mkuu Mizengo pinda na Mkewe Tunu Pinda, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Mkewe mama Anna Mkapa, Mawaziri wastaafu Cleopa Msuya, Dk Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba na Mkewe. Wengine ni wabunge mbalimbali na wakuuu wa mikoa wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mhe William Lukuvi.

1 comment:

  1. wakubwa wa nchi kuuzulia harusi ni sifa kwa watanzania!

    ReplyDelete