.

.

.

.

Saturday, May 16, 2009

VODACOM FOUNDATION WILAYANI LUSHOTO

Mkuu wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiwa kabidhi msaada wa komputa wanafunzi wa shule ya Sekondari ya soni Day wakati wa hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Soni Water Falls Lushoto, aliyevaa kilemba chekundu ni mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Asha Hazali.

No comments:

Post a Comment