.

.

.

.

Saturday, June 20, 2009

MISS SINZA 2009

Usiku wa kuamkia leo kitongoji cha Sinza kimempata mrembo atakayekiwakilisha katika kinyang'anyiro cha Miss Kinondoni katika kinyang'anyiro kilichofanyika Ukumbi wa Vatican Jijini Dar es Salaam. Katika kinyanganyiro hicho Mrembo Lulu Ibrahim aliibuka mshindi.

No comments:

Post a Comment