.

.

.

.

Saturday, June 20, 2009

TAMASHA LA NCHI ZA JAHAZI

Mtangazaji wa Star Televisheni Saida Mwilima akimhoji msanii Kassim Mganga aliyeimba wimbo wa (Anewa) ambaye ni miongoni mwa wasanii watakaofanya onyesho katika Tamasha la nchi za jahazi ZIFF linalotarajiwa kuanza Juni 27 mpaka julai 4 mwaka huu mjini Zanzibar kulia ni mwandishi wa Star Televisheni Agness Baharia.

No comments:

Post a Comment