.

.

.

.

Wednesday, June 24, 2009

ZIMEBAKI SIKU MBILI KABLA MISS EUROPE 2009 KUPATIKANA

Miss Tanzania Europe itafanyika Jumamosi Juni 27 Uingereza Katika Ukumbi wa Silverspoon Wembley Uliopo Kaskazini mwa jiji la London.

Akizungumza leo Mwenyekiti Wa kamati ya Maandalizi ya shindano hilo Juma Mabakila, alisema Maandalizi yote yamekamilika, Mgeni Rasmi atakuwa Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mrs Mwanaidi Sinare Maajar.

Majaji wa shindano hilo watakuwa
Jaji Mkuu Bi Attu John Mynah Miss Tanzania Uk Runner up 2007 Ambaye anafanya kazi Maneguins Model Management as Fashion Model na hivi karibuni amejiunga BSFY Model Agency as an Agent in the Management,
Mtangazaji wa zamani WA CTN bi Rahma Aziz,
Muigizaji Mashuhuri wa filamu Tanzania Steven Kanumba
na DR Shayo Mtafiti Wa Masoko Bidhaa za Afrika..

Wasanii watakao Tumbuiza katika Onyesho hilo Msanii Machachali Wa kizazi Kipya Mwana FA, mwenye Single yake Mashuhuri Mwana FA utaoa lini Bado nipo nipo. Na wasanii wengine Kutoka Uingereza [Tribe] Uganda na Burundi

No comments:

Post a Comment