.

.

.

.

Saturday, July 11, 2009

BI KIDUDE

Mwanamuziki Mr.Buti Jiwe akipata baraka za Mwanamziki mkongwe na malkia wa mziki barani Afrika Bi.Kidude.
Bi.Kidude ni mwanamuziki mahiri,ngome na hazina ya muziki barani Afrika,juzi juzi alifanya mavitu makubwa huko uholanzi na kuakikishia ulimwengu kuwa yeye ni malikia wa muziki barani Afrika.Bi.Kidude anaendelea na na ziara ya ulaya
.
CHANZO: michuzijr

No comments:

Post a Comment