.

.

.

.

Tuesday, July 28, 2009

JK MJINI KAMPALA

Rais Jakaya Kikwete akiwa ameshika hodari mkuki akiingia katika eneo ambalo yeye na viongozi wenzake wa Afrika walikuwa wanafanya ishara ya kuzika tofauti kwa kuzungumza badala ya vita mjini kampala, Uganda.Wakuu wa nchi kadhaa walihudhuria mkutano wa 5 wa majadiliano-global smart partnership.

No comments:

Post a Comment