.

.

.

.

Thursday, July 16, 2009

RENATUS MKINGA AWA MILLIONEA WA TUZO VODACOM MILLIONEA


Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru (kushoto)akimkabidhi mshindi wa Tuzo milionea Renatus Mkinga wa tatu kutoka kushoto fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 100,wa pili kushoto Anna Mkinga na kulia ni Mkuu wa wateja wadogowadogo wa Benki ya KCB na mwisho ni Msimamizi wa michezo ya kubahatisha Tanzania Mrisho Mlawo,

No comments:

Post a Comment