.

.

.

.

Tuesday, July 28, 2009

SUMMER COCKTAIL JUMAMOSI HII

SUMMER COCKTAIL PARTY KUFANYIKA WEEK END HII 01/08/09 JUMAMOSI, KUANZIA SAA 1:00 JIONI MPAKA SAA 3:00 USIKU KUTAKUWA NA SELF-SERVICE DRINK KWA WALE WATAKAO WAHI KUFIKA, NA BAADA YA HAPO KUTAKUWA NA DANCE MPAKA SAA 9 USIKU. NYOTE MWAKARIBISHWA.

UKUMBI NI SEEBO'S REST & BAR, 761-763 HIGH RD, LEYTONSTONE, E11 4QS.

UKUMBI HUU UKO OPPOSITE NA LINCONS PUB & ZULLU BAR, NA PIA NI KARIBU NA LLYODS BANK & ICELAND. KARIBUNI TUFURAHI KWA PAMOJA.

No comments:

Post a Comment