.

.

.

.

Tuesday, July 28, 2009

WACHANJAJI WA MKWANJA ATM ZA BONGO

Polisi wakiwalinda Raia wawili wa Bulgaria wanaotuhumiwa kuiba mamilioni ya pesa kwenye ATM za Bongo. Nedko Stanchav(shoto) na Stela Nedelcheva(kulia) Wakirudishwa Kituo cha kati baada ya kumkataa mkalimani waliyepewa.
Picha kwa hisani ya Yusuf Badi

No comments:

Post a Comment