Mwanamuziki Busta Rymes kutoka nchini Marekani (katikati) akitoka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu J.K.Nyerere mara baada ya kuwasili uwanjani hapo.Usiku huu anategemea kukamua FIESTA 2009 itakayofanyika katika viwanja vya posta kijitonyama.
No comments:
Post a Comment