.

.

.

.

Friday, November 06, 2009

WITO SHELUKINDO ATUTOKA DUNIANI

WITO SHELUKINDO AMEFARIKI DUNIA LEO ASUBUHI BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI .KILIO KIKO KIMARA KWENYE NYUMBA YA FAMILIA .MWENYEZI MUNGU AMPE PUMZIKO LA AMANI NA AMWANGAZIE MWANGA WA MILELE MAREHEMU.

KWA HABARI ZAIDI WASILIANA NA
BARAKA SHELUKINDO +255 784 888765

1 comment:

  1. WATOTO WA UPANGA NA SEAVIEW TUTAKUKUMBUKA DAIMA RIP

    ReplyDelete