.

.

.

.

Wednesday, December 02, 2009

MAPACHA WANNE

Vinara wa Bendi mpya inayojulikana kama MAPACHA WANNE Jose Mara, Kalala Junior na Khalid Chokoraa wakihojiwa na mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima, juu ya mikakati waliyojiwekea katika bendi yao hiyo mpya.

No comments:

Post a Comment