YANGA YA DARESSALAAM IMEIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2-1 DHIDI YA SOFAPAKA YA KENYA KATIKA UWANJA WA NESHNO YA ZAMANI NA KUNYAKUA UBINGWA WA KOMBE LA TUSKER CUP.
MSHAMBULIAJI GERRY TEGETE AMETEULIWA KUWA MCHEZJI NA MFUNGAJI BORA BAADA YA KUPACHIKA MABAO 6 KWENYE MICHUANO HII.
*YANGA INAZAWADIWA KOMBE NA SHILINGI MILIONI 40
*SOFAPAKA INAAMBULIA MILIONI 20
*SIMBA INAPEWA KIFUTA JASHO CHA MILIONI 10
FFU WANAINGILIA KATI WAKATI WACHEZAJI WA SOFAPAKA WANAPOMZONGA REFA NA KUTAKA KUMPIGA. MPIGA PICHA MUHIDIN SUFIANI ANAPIGWA NA MCHEZAJI NAMBA 12 WA SOFAPAKA. GARI TANO DEFENDER ZA FFU ZIPO UWANJANI, NA GARI LAO LA MAJI YA KUWASHA LIKO MKAO WA KULA....
MWALI ANAFUNULIWA TAYARI KUGAWIWA.....
YANGA OYE!
TANZANIA OYE!

No comments:
Post a Comment