.

.

.

.

Friday, January 22, 2010

ALIKIBA ATUA UINGEREZA

Mwanamuziki Nguli wa Bongo flava Toka Tanzania ALI KIBA (shoto) akiwa na wenyeji wake Richie Dee na DJ Rule jioni hii Terminal 5 Heathrow mara baada ya msanii huyo kutua na BA akitokea Bongo tayari kwa makamuzi UKEREWE.

No comments:

Post a Comment