.

.

.

.

Sunday, January 24, 2010

DJ RICHIE DEE WA READING NI MZIMA WA AFYA

RICHIE DEE WA BONGODJ'S NI MZIMA WA AFYA BAADA YA KUZUSHIWA KIFO NA KUANDIKWA KWENYE BAADHI YA VIPASHA HABARI VYA BONGO MATUKIOUK IMEZUNGUMZA NA RICHIE DEE NA KUSEMA KWAMBA AMESIKITISHWA SANA NA HABARI HIZO ZA KIZUSHI .
TUNAOMBA MWENYEZI MUNGU AMPE MAISHA MAREFU DUNIANI.

No comments:

Post a Comment