.

.

.

.

Thursday, January 07, 2010

RAMBIRAMBI UBALOZINI UK

Mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza ABUU FARAJI akitia saini kitabu cha maombolezo ya MH.RASHID MFAUME KAWAWA katika Ubalozi wa Tanzania hapa Uingereza huku akiangaliwa na na mmoja wa maafisa wa ubalozi Bw.Amos MSANJILA.

No comments:

Post a Comment