Gadner kwa muonekano u mstaarabu, ukilewa una fujo ambazo hazina maana, unapenda sana kupigana na wala huwa hupendi kumsikiliza mtu kwa wakati huo hata mtu akutulize vp,punguza fujo kaka watu wakuheshimu.Huoni hapo unavyopendeza na friends? mara nyingi kwenye starehe kuna migongano mingi, usipokuwa mvumilivu utajiharibia wakati wewe ni kioo cha jamii. punguza mahasira.

ReplyDeletepoa nakubali kweli haya matukio ni sooo.
ReplyDeletebig up othmani michuzi