Mwanafunzi Joel Abdallah anayesoma darasa la tatu katika shule ya msingi Rutozo iliyoko katika kijiji cha Katoro akimsalimia Rais Kikwete muda mfupi juzi kabla ya kupanda helikopta kwenda Muleba, mkoani Kagera kuanza ziara ya siku mbili ya kampeni. (Picha na John Lukuwi) |
No comments:
Post a Comment