.

.

.

.

Tuesday, November 30, 2010

GIRAFFE UNIQUE MODELS 2010


Dream Team ya Giraffe Unique Model 2010, ambapo jumla ya washiriki kumi wamepita katika mchujo na kuingia kwenye mtanange wa tarehe 24/12/2010.
Majina ya wanamitindo waliopita ni kama ifuatavyo:- Dorah Mhando, Purity Walele, Asia Dachicalorine Mwakasaka, Diana Mainason, Mariam Rabii, Ritah Samwel, Carina Suleiman na Bilkis Suleiman.

No comments:

Post a Comment