.

.

.

.

Sunday, March 27, 2011

20% AIBUKA KIDEDEA TUZO ZA KILIMsanii muziki wa kizazi kipya 20% , ameweza kunyakua tuzo tano za KILIMANJARO AWARDS kuliko msanii mwingine yeyote aliyewahi kuchukua tuzo hizo tangu zianzishwe hapa nchini.
20% amejinyakulia tuzo tano ambazo ni ;
1.Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop-Tamaa mbaya
2.Tuzo ya Mtunzi bora wa nyimbo
3.Tuzo ya mwimbaji bora wa kiume
4.Tuzo ya wimbo bora wa mwaka
5.Tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume.

No comments:

Post a Comment