.

.

.

.

Saturday, March 12, 2011

MODIBO KEITA AFARIKI DUNIA


Marehemu Modibo Keita.

Jumuiya ya watanzania waishio Manchester, UK; wanasikitika kutangaza kifo cha ndugu yao Modibo Keita.

Kilichotokea alfajiri ya Alhamisi katika Hospitali ya Manchester Royal Infirmary.


Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ibrahim Mtemvu: 07556361118
Nanyorry Mwasha. 07956397149
Barbara Modibo Keita:07424214879

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, libarikiwe Jina la Bwana

1 comment: