.

.

.

.

Tuesday, March 08, 2011

MUGARIGA YAWA JINA MAARUFU TANZANIA


misururu ya magari mbali mbali iliyoleta wagonjwa na wasio wagonjwa kwenda kunywa dawa.
Dawa ya Mugariga katika kijiji cha Samunge wilayani Loliondo, aliyooteshwa Mzee Mwasapile mwaka 1991 hivi sasa ni jina maarufu nchini Tanzania kutokana na mamia ya watu wanaofurika Loliondo kwenda kunywa dawa hiyo ambayo inauzwa kwa Shs. mia tano tu kwa kikombe ambayo ni dozi kamili ambayo haitaji kurudiwa na inaponya magonjwa sugu kama aina zote za saratani na Gonjwa hatari na sugu la Ukimwi.

No comments:

Post a Comment