.

.

.

.

Thursday, April 21, 2011

HAMMIE RAJAB HATUNAYE TENA


Habari za kusikitisha zilizopatikana hivi punde zinasema kuwa Mzee Hammie Rajab (kwenye kiduara) amefariki dunia katika hospitali ya Amana jijini Dar es salaam alfajiri ya leo, ambako alikuwa amelazwa kutokana na ugonjwa wa malaria. CHANZO: Global publishers

No comments:

Post a Comment