.

.

.

.

Saturday, April 23, 2011

MUHADHARA WA DINI LEO NORTHAMPTON

JUMUIYA YA WAISLAM-UK – INA WATANGAZIA MUHADHARA WA DINI-UTAKAO HUTUBIWA NA SHEIKH ABU IDD MOHAMMED- KUTOKA- ZANZIBAR.

SHEIKH ATAKUWEPO:


JUMAMOSI TAREHE- — 23/04/11……… NORTHAMPTON…4PM

JUMAPILI TAREHE—- 24/04/11……. MANOR PARK-MADRASA….4 PM

JUMAMOSI TAREHE— 30/04/11.. ….. CANNING TOWN MOSQUE.. 3PM

WAISLAMU WOTE MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA–KUHUDHURIA KWENU NDIO MAFANIKIO YA MUHADHARA WETU

No comments:

Post a Comment