.

.

.

.

Tuesday, July 26, 2011

SIKU YA MASHUJAA KITAIFA MTWARA

Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Jakaya Kikwete akiweka mkuki na ngao kwenye Mnara wa Mashujaa katika kijiji cha Naliendele mkoani Mtwara wakati wa kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa kitaifa. (Picha na John Lukuwi).

No comments:

Post a Comment