.

.

.

.

Tuesday, August 30, 2011

VODACOM MISS TZ WALIO ........

Vodacom Miss Top Model, Mwajabu Juma (katikati) ambaye alikuwa mrembo wa kwanza kuingia hatua ya Nusu Fainali ya Vodacom Miss Tanzania 2011 akiwa na mrembo wa pili kuingia katika hatua hiyo ya 15 bora Vodacom Miss Photogenic Tracy Mabula (kushoto) wakipozi kwa picha na mwenzao wa tatu kutinga katika hatua hiyo baada ya kutwaa taji la Vodacom Miss Sports Lady Loveness Flavian usiku wa kuamkia jana katika Jumba la Vodacom Dar es Salaam yalipotangazwa matokeo hayo. (Picha na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment