.

.

.

.

Saturday, September 10, 2011

NI MAJONZI MAKUBWA ....... TAIFA LETU LA KESHO LATEKETEA

Maiti za watoto zikitolewa baharini
miili ya marehemu (watoto) ikiwa katika viwanja vya maisara kusubiri kutambuliwa. Hakika huu ni msiba mkubwa sana kwa Taifa letu .Zanzibar wametangaza siku tatu za maombolezo kuanzia kesho Natumaini Selikali ya muungano itaungana na wenzao pia kutangaza siku za maombolezo kwa upande wa Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment