.

.

.

.

Monday, September 12, 2011

SALHA ISRAELI AWA MISS TZ 2011

Malkia wa urembo wa mashindano ya Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel (katikati), akiwa na mshindi wa pili Tracy Sospeter (kulia) na Alexia William aliyeshika nafasi ya tatu katika kinyang'anyiro kilichofanyika usiku wa juzi kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment