.

.

.

.

Wednesday, October 05, 2011

MH.NEEMA MGAYA ATEMBELEA OFISI MPYA YA SERENGETI FREIGHTS

Mbunge wa vijana kupitia CCM Mh. Neema Mgaya (katikati) leo ametembelea makao makuu ya Serengeti Freights Forwarders ( WAZEE WA KAZI) yaliyopo TILBURY .Pichani akiwa na wakurugenzi wa Serengeti Simon Louis Mohsin (kushoto) na Chris Lukosi (kulia)mwenyeji akionyeshwa yard ya kupakia magari yanayosubiri kusafirishwa nchi za nje hususani Tanzania na Chris Lukosi.
POzi Mwanana
Pozi ndani ya Ofisi Kuu ya Serengeti

No comments:

Post a Comment