
Hapa Miss Vodacom Tanzania 2011
Salha Israel wa kwanza kushoto akiwa katika Vazi la Ufukweni na Wenzake katika maonesho ya Mavazi hayo hapo jana.
Miss Vodacom Tanzania 2011
Salha Israel wa pili kutoka kulia akiwa Edinburgh Castle hivi karibuni katika safari ya kuelekea katika mashindano ya kumsaka Mrembo wa Dunia.

Miss Vodacom Tanzania 2011
Salha Israel wa Pili kutoka kulia akiwa anapiga Chiazi na wenzake .. katika safari ya kuelekea kumtafuta Mrembo wa Dunia.

Miss Vodacom Tanzania 2011
Salha Israel wa kwanza kushoto aliye simama akiwa katika picha ya pamoja na wenzake

Miss Vodacom Tanzania 2011
Salha Israel wa Tatu kutoka kulia akifurahia kwa Shangwe wakati wa Highland Games kuelekea kinyang'anyiro cha Mrembo wa Dunia

Miss Vodacom Tanzania 2011
Salha Israel wa Kumi kutoka kulia akiwa na wenzake katika Dina la nguvu Huko Scottish maeneo ya Scottish Hydro.
No comments:
Post a Comment