VODACOM MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Athuman Mfutakamba akimkabidhi bendera ya taifa Vodacom Miss Tanzania, Salha Israel kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika fainali za mashindano ya urembo ya Dunia yatakayofanyika jijini London Novemba 6. Mrembo huyo anatarajiwa kuondoka Oktoba 19. Kushoto ni Mkuu wa udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza na Mlezi wa kamati ya miss Tanzania, Emmanuel Ole Naiko. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment