.

.

.

.

Tuesday, October 18, 2011

TAARIFA YA MSIBA


Marehemu Upile Msamati

Prof Boniface C. Msamati na Bi Felistas Msamati wa Dar es salaam wanasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Upile Msamati kilichotokea jijini LONDON Uingereza tarehe 14/ 10/ 2011.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Jet Lumo Dsm. Mazishi yatafanyika mara baada ya taratibu zote kukamilika. Habari ziwafikie ndugu jamaa na marafiki popote walipo.

No comments:

Post a Comment