.

.

.

.

Saturday, October 15, 2011

TWANGA PEPETA NI MOTO


Waimbaji wa Twanga Pepeta, akiuongozwa na Luizer Mbutu (kulia).
Manjonjo ya wanenguaji wa Twanga Pepeta
Vitu kama hivyo ni kwenye maonesho yao tu, Twanga Pepeta inatisha.


Haya mambo mazuri yanapatikana Twanga Pepeta tu, ukitaka kufaidi kwa hapa Bongo, nenda Da West Park Inn Tabata ijumaa,kila Jumamosi pale Mango Garden Kinondoni na Jumapili Twanga linatwanga pale Leaders Club mchana kweupe na usiku kule Temeke ukumbi wa Sigara, Chang'ombe.

No comments:

Post a Comment