.

.

.

.

Friday, October 21, 2011

WEMA NA DIAMOND .................


NGOMA ikilia sana ujue inakaribia kupasuka na lisemwalo lipo kama halipo, basi li njiani laja! Hatimaye Wema Isaac Sepetu na Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’, wamemwagana rasmi, The Udaku Master, Ijumaa lina ‘eituzedi’ ya mkasa mzima.

Ilikuwa ni Jumanne, saa mbili usiku, Diamond ‘Platinum’ aliita vyombo vya habari katika Hoteli ya Lion Sinza jijini Dar es Salaam na kufunguka: GONGA HAPA KWA HABARI KAMILI

No comments:

Post a Comment