.

.

.

.

Thursday, November 03, 2011

TWANGA PEPETA ( ASET) YATAMBULISHA NYIMBO 11 MPYA


Band ya Twanga Pepeta imetambulisha nyimbo zake 11 kwa wadau wa karibu Katika Ukumbi wa MAISHA kabla uzinduzi mkubwa haujafanyika ambapo album mpya itaenda kwa jina la "DUNIA DARAJA" uzinduzi huo utafanyika kwenye viwanja vya Leaders Club . Siku,tarehe na kiingilio mtafaamishwa muda ukifika.

Jackline Wolper sambamba na Jacob Stephen wakilishwa keki na mkurugenzi wa Twanga Pepeta Asha Baraka

JB akilishwa keki na Asha BarakaPicha ya pamoja Da. Rita Poulsen na msanii wake Rogers.

Asha Baraka, Madame Rita na Maimartha wa Jesse wakifurahia jambo.

Picha kwa Hisani ya RAY THE GREATEST

No comments:

Post a Comment