.

.

.

.

Saturday, November 26, 2011

TWANGA PEPETA KUPAGAWISHA JIJI LA LONDON USIKU HUU

Wanamuziki wa Bendi ya Twanga Pepeta 'Kisima cha Burudani' wamewasili nchini UK jana jioni tayari kabisa kwa makamuzi ya nguvu leo usiku katika kusherekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara. NJOO UBURUDIKE NA TWANGA PEPETA 'KISIMA CHA BURUDANI' NA KIBAO CHAO KIPYA DUNIA DARAJA JUMAMOSI HII 26 NOV 2011 KUANZIA 9PM-LATE PALE CLUB 2000 FORMERLY KNOWN AS SILVERSPOON WEMBLEY.

Kiingilio £20 Single,
£35 Couples before midnight.
NYOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment