.

.

.

.

Sunday, June 05, 2011

MWAJABU JUMA AWA MISS KURASINI 2011


Miss Kurasini Mwajabu Juma akipunga mkono kwa mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la Miss Kurasini lililofanyika jana kwenye ukumbi wa Equator Gril Mtoni kwa Azizi Ali jijini Dar es salaam, kushoto ni mshindi wa pili Naifat Ali na kulia ni mshindi wa tatu Priscar Steven.
Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akikabidhi zawadi ya shilingi laki tano kwa Miss Kurasini mara baada ya kuvishwa taji la kitongoji hicho.
Kutoka kulia ni Afisa Uhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude, Naomi Ngonya, Mshindi wa tatu Miss Kurasini Priscar Steven, Miss Kurasini 2011 Mwajabu Juma, mshindi wa pili Miss Krasini Victoria Mtenga.

No comments:

Post a Comment