.

.

.

.

Friday, December 16, 2011

JOSEPH KUSAGA KUONGOZA KAMATI YA KUTUPATIA VAZI LA TAIFA
Naomba nichukue fursa hii kuwapongeza wanataaluma, wadau wetu wakubwa na wazalendo wenzetu waliochaguliwa kuongoza mchakato wa kutupatia vazi la Taifa.Kamati hii itaongozwa na Joseph Kusaga ambaye atakuwa Mwenyekiti; Angela Ngowi Katibu; wajumbe ni Habibu Gunze, Joyce Mhaville, Mustafa Hassanali, Absalom Kibanda, Makwaia Kuhenga, na Ndesambuka Merinyo.Nawatakia kila la heri na ni matumaini yetu mtatupatia vazi bora la Taifa ambalo litakuwa ni moja ya utambulisho wa Mtanzania, kama ilivyo kwa Mataifa mengine duniani.

No comments:

Post a Comment