.

.

.

.

Monday, January 23, 2012

MAMA BALOZI AWAANDALIA CHAKULA WABUNGE TOKA TANZANIA

MAMA BALOZI Joyce Kallaghe(kulia)
 Mama Balozi Joyce Kallaghe akiwa na wageni waheshimiwa wabunge Beatrice Shelukindo na Mamlek Sokoine
 Mwana libeneke Jestina George akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa Al-Shaymaa J. Kwegyir, Agripina Z Buyogera na Susan Lyimo
 Mwenyekiti wa TAWA UK Mariam Kilumanga na mwana libeneke Jestina George wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Al-Shaymaa J. Kwegyir
 Picha ya pamoja na waheshimiwa baada ya chakula cha jion
 Mh. Anna Abdallah mwenyekiti wa TWPG na kiongozi wa msafara
 Katibu wa Chama cha wanawake UK (TAWA UK) Mariam Mungula akiwaeleza waheshimiwa machahceh kuhusu chama hicho.
 Waheshimiwa Esther Matiku na Angela Kairuki wakipata Chakula
 Mhe. Susan Lyimo akipata chakula na waalikwa wengine
 Waheshimwa wabunge wakiwa tayari kwa kupata chakula cha jioni kilicho andaliwa maalumu kwaajili yao na mama Balozi Joyce Kallagehe nyumbani kwake
 Afisa wa Bunge Mrs Justina Shauri, Mhe. Esther Matiku, Mhe. Beatrice Shelukindo na Mama Balozi Joyce Kallaghe wakiwa wanamsikiliza mhe. Balozi akitoa ukaribisho
 Mhe. Balozi Peter Kallaghe akiwakaribisha waheshimiwa wabunge


CHANZO : MATUKIOMICHUZI

No comments:

Post a Comment