.

.

.

.

Thursday, January 26, 2012

PICHA YA LEO

Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Bw. Joseph Kusaga akizungumza machache na baadhi ya Wabunge wa viti maalum mara baada ya kumaliza mahojiano yao mafupi kupitia kipindi cha Power Breakfast na Leo Tena ndani ya Clouds FM mapema jana,Mikocheni jijini Dar. 

No comments:

Post a Comment