.

.

.

.

Saturday, January 07, 2012

TANGAZO LA HITMA

TUNAPENDA KUWATAARIFU KHITMA YA MAREHEMU BABA YETU MZEE JAFFAR KAWAWA PAMOJA NA NDUGU YETU MAREHEMU AZEEZ SHEWEEN AMBAYO INAPANGWA KUFANYIKA LONDON TAREHE 28/01/12 . UKUMBI TUTAWAFAHAMISHA, UNAKARIBISHWA KUTUUNGA MKONO KWA HALI NA MALI ILI KUFANIKISHA SHUGHULI HII.


KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANANA :


USTAADHI SHABAN KAWAWA 07424714168


 BARCLAYS BANK    ACCOUNT No. 43603458  SORT CODE 20-06-72

No comments:

Post a Comment