.

.

.

.

Tuesday, February 14, 2012

SHOW YA VALENTINE USIKU HUU NDANI YA PIT STOP

 Mambo yalikuwa moto moto
 Mashabiki wakijiachia
 Msanii wa Bongo Movie Meckyladiva akionyesha support yake.
 Tundaman akiwapagawisha mashabiki waliohudhuria show yake.
Warembo Naju, Rahma, Shenaz na Jestina George wakiwa kwenye show.

Msanii Tundaman yuko nchini Uingereza kwaajili ya show iitwayo 'Tundaman Valentine Tour' iliyo andaliwa na mwanadada Safina Kassu wa Kassu Entertainment. Show yake ya kwanza ilianza jumamosi tarehe 11 Feb 2012 katika kiota kipya cha maraha jijini London kiitwacho The Pit Stop 'Uwanja Wa Nyumbani' ambao msanii huyo alikonga nyoyo za mashabiki wake pale alipo anza makamuzi na kuwashukia na nyimbo zake pamoja na za kikundi cha Tip Top Connection.

Show zinaendela na tunaomba watu wajitokezee kwa wingi kwa ajili ya kumsupport msanii na mtanzania mwenzetu huyu.

No comments:

Post a Comment