.

.

.

.

Saturday, February 18, 2012

YANGA YATOKA SARE NA ZAMALEK

Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia mbele ya mashabiki wao mara baada ya mchezaji wa timu hiyo Khamis Kiiza, kuifungia timu hiyo goli la kuongoza katika kipindi cha kwanza,Tayari mpira umekwisha na timu ya Zamalek imefanikiwa kusawazisha goli na kufanya matokeo kuwa 1-1 mpaka mwisho wa mchezo. Huu ni mchezo wa mashindano ya Klabu bingwa barani Africa yanayoandaliwa na shirikisho la vyama vya mpira wa miguu (CAF), timu hizo zitarudiana tena nchini Misri baada ya wiki mbili zijazo.

No comments:

Post a Comment