.

.

.

.

Monday, April 09, 2012

MISS TABATA YAZINDULIWA


Warembo wa wanaoshiriki shindano la kumsaka Malkia wa Tabata 2012 wakipozi mbele ya mashabiki wa burudani ya urembo jijini Dar es Salaam waliohudhuria uzinduzi wa shindano hilo la Urembo katika Ukumbi wa Dar West Park Tabata jana.

No comments:

Post a Comment