.

.

.

.

Saturday, July 14, 2012

RAIS JK YUKO ADDIS ABABA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika AU jana jioni.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa  wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika jana jioni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe.Joram Biswaro(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment