.

.

.

.

Friday, August 24, 2012

MKUTANO WA CHADEMA JUMAPILI HII READINGTAWI LA UK

KWA WALE WALIO LONDON WASILIANA NA CHRIS 

LUKOSI KUHUSU TARATIBU ZA USAFIRI

MAGARI KUONDOKA SAA NNE ASUBUHI

Mkutano utafanyika siku ya Tarehe 26/08/2012 kuanzia saa saba mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, siku ya Bank Holiday. .Risc Reading International Solidarity Centre, 35-39 London Street, Reading, RG1 4PS .


WASOMI WENGI NA WANAHARAKATI MBALI MBALI WATAONGEA SIKU HIYO, 
SIKU YA MKUTANO TUTAANZISHA MFUKO WA KUFA NA KUZIKANA KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE WAISHIO UK BILA KUBAGUA CHAMA CHAKO CUF,CCM,UDP,TLP WOTE MNAKARIBISHWA
 Watanzania wote na wadau mbali mbali mnakaribishwa 

SISI SOTE NI NDUGU, TATIZO NI CCM

 ni wakati wa kusimama na kusema tumechoka
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
MWENYEKITI: Chris Lukosi 07903828119

Au tutumie email kupitia chademauk@gmail.comPeooooople's Power

No comments:

Post a Comment