.

.

.

.

Saturday, August 25, 2012

MSIBA TOTTENHAM - LONDON

ESTHER CHALAMILA NA FAMILIA NZIMA YA CHALAMILA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MPENDWA LUCEL CHALAMILA (PICHANI) KILICHOTOKEA MWANZA SIKU YA JUMANNE TAREHE 21/08/2012 . MSIBA UPO TOTTENHAM HALE LONDON 134 BREAM CLOSE N17 9DQ

KESHO JUMAPILI TAREHE 26/08/12 KUTAKUWA NA MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU PATRICK NAMBA 61 BLACKHORSE ROAD WALTHAMSTOW E17 7AS SAA 11 JIONI

NA BAADA YA HAPO KUTAKUWEPO VINYWAJI NA VITAFUNIO NYUMBA No.134 BREAM CLOSE N17 9DQ

KUFIKA KWAKO NDIO KUFANIKIWA KWA SHUGHULI HII

NYOTE MNAKARIBISHWA KUWAFARIJI WAFIWA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.

MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 07415691639 AU 07404016405


BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA

AMEEN

No comments:

Post a Comment