.

.

.

.

Friday, September 28, 2012

MKUTANO WA MAGEUZI YA KIJANI AFRIKA


Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiufungua Mkutano wa Pili wa Ushirika wa Mageuzi ya Kijani ya Afrika      { AGRF} unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kimatifa ya Ngurdoto Mkoani Arusha Tanzania.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali wa kimataifa waliohudhuria Mkutano wa Pili wa Ushirika wa Mageuzi ya Kijani ya Afrika unaofanyika Hoteli ya Ngurdoto Mkoani Arusha Tanzania.

Baadhi ya Mawaziri wa SMZ na wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania waliohudhuria  Mkutano wa Pili wa Ushirika wa Mageuzi ya Kijani ya Afrika { AGRF } KATIKA Ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya Ngurdoto Mkoani Arusha Tanzania.

No comments:

Post a Comment