.

.

.

.

Friday, October 26, 2012

BARAZA LA IDD ZANZIBAR



   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Viwanja vya Salama Bwawani kuhutubia Baraza la EID El Hajj,lililofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana  na Viongozi na Kinamama baada ya kuwahutubia wananchi katika Baraza la Eid El Hajj. Leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar.
  Wananchi na waislamu wa Zanzibar ,wakike na wa kiume wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu katika baraza la Eid El Hajj,huko Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
  Baadhi ya Maw\aziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,yenye mfumo wa Umoja wa Kitaifa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu katika baraza la Eid El Hajj,huko Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
   Wananchi na waislamu wa Zanzibar ,wakike na wakiume wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu katika baraza la Eid El Hajj, huko Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
  Mawaziri Wanawake wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye mfumo wa Umoja wa Kitaifa,wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu katika baraza la Eid El Hajj,huko Ukumbi wa salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
 Baadhi ya Wananchi na Waislamu wakijipatia vitafunio baada ya kumalizika Baraza la Eid El Hajj, lililohutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar Leo.

No comments:

Post a Comment